Get our affordable and Powerfull cloud Hosting Offers. made out of simplicity, security,affordable and speed. Visit Now

Get Offer
Tanzania TechTech GuidesTech trends

Jinsi ya Kuweka Template (Kiolezo) Kwenye Blogger #Maujanja 36

Table of Contents

Jifunze #Maujanja Baada ya kuangalia jinsi ya kujiunga na Akaunti ya blogger, Hapa tutaenda kuangalia jinsi ya kuweka kiolezo au template kwenye blog yako uliyotengeneza kwenye hatua zilizopita. Kumbuka unaweza kuweka template mbalimbali kutokana na muonekano unaotaka au kutokana na mada ambayo blog yako inahusu.

MUHIMU
1. Kujifunza Zaidi Kuhusu Somo Hili Bofya Hapa – http://bit.ly/2imLVyM
2. Kudownload Template Mbalimbali Bure Bofya Hapa – http://bit.ly/2ipuxVi
3. Kuangalia Sehemu ya Kwanza ya Video Hii (Part 1) Bofya Hapa – https://youtu.be/4WlATfkFBWU
4. Kuangalia Sehemu ya Tatu ya Video Hii (Part 3) Bofya Hapa – https://youtu.be/Rz_9VMByy-0

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button
Close

Adblock Detected

Please disable your adBlocker. we depend on Ads to fund this website. Please support us by whitelisting us. We promise CLEAN ADS ONLY