Get our affordable and Powerfull cloud Hosting Offers. made out of simplicity, security,affordable and speed. Visit Now

Get Offer
Tanzania TechTech GuidesTech trends

Jinsi ya Kuinstall Windows Kwenye Simu ya Android #Maujanja 53

Table of Contents

Kwa kuanza ni vyema ukajua kuwa uwezo wa kutumia Windows kwenye simu yako unaweza kukusaidia wewe kutumia simu yako kama kompyuta, njia hii itakusaidia sana kama simu yako inauwezo wa kutumika kwenye screen kubwa ili kukupa uwezo wa kufanya vitu mbalimbali kama unavyo tumia kwenye kompyuta, yaani bila tofauti kubwa utafauti ni kwenye graphics pekee.
LINK MAALUM
1. Maelezo Kamili Yanapatikana Hapa (Muhimu Sana Kusoma) https://ttechone.com/2PvETVk
2. Download App ya Limbo Hapa http://bit.ly/2qHsJwb
2. Windows XP Download Hapa https://goo.gl/n3QNjB
3. Windows 10 x64 Download Hapa https://goo.gl/4Buq5e
4. Windows 10 x86 Download Hapa https://goo.gl/KmPp45
5. Windows 8.1 Download Hapa http://bit.ly/2pMpRhq
6. Windows 7 Download Hapa https://goo.gl/PoiGN1
Kama utakuwa umekwama mahali popote unaweza kuliza kupitia kwenye comment hapo chini.
KWA #MAUJANJA ZAIDI LIKE NA SUBSCRIBE, PIA KWA HABARI ZA TEKNOLOJIA PITIA TOVUTI YA #TANZANIATECH KILA SIKU.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button
Close

Adblock Detected

Please disable your adBlocker. we depend on Ads to fund this website. Please support us by whitelisting us. We promise CLEAN ADS ONLY