Get our affordable and Powerfull cloud Hosting Offers. made out of simplicity, security,affordable and speed. Visit Now

Get Offer
Tanzania TechTech GuidesTech trends

Jinsi ya Kufanya Simu ya Android Idumu na Chaji #Maujanja 43

Table of Contents

Kama unataka kufanya simu yako yenye mfumo wa Android idumu na chaji fuata maelekezo haya, maelekezo haya ni marahisi sana na hapa natumia simu ya Samsung kama mfano lakini inawezekana hatua hizi zikafanana kwenye kila simu ya Android hivyo usijali kama umekwama tuandikie kwenye moni hapo chini.

MAELEZO MAALUM

Kwenye video nimesema ni muhimu kuzima hizo Animation, hii ni kwa sababu animation hizi hutumia kiwango kikubwa sana cha chaji kwenye simu yako kwani hizo ndio zile zenye kufanya wakati unagusa kufungua sehemu flani au programu flani basi sehemu hiyo ufunguka kwa (manjonjo flani). Pia ni vizuri kupunguza kiasi cha mwanga kwani kioo cha simu ndio kinaongoza kwa kutumia chaji nyingi hivyo ukiweka Automatic basi kioo chako kita punguza mwanga kutokana na wakati hivyo utaweza kutunza chaji zaidi kwenye simu yako ya android.

LINK MAALUM

1. Unaweza kudownload Programu ya Smart Manager hapa – http://bit.ly/2X3Uuht
(Kumbuka programu hii ni kwaajili ya Samsung hivyo isipo fanya kazi kwenye simu yako nyingine tuandikie kwenye maoni ili tuweze kuiweka sawa na simu yako)

2. Kwa habari za teknolojia na maujanja mbalimbali bofya hapa http://bit.ly/2jVoNGw

KWA #MAUJANJA ZAIDI HAKIKISHA UNA LIKE NA KUSUBSCRIBE ILI KUPATA VIDEO MPYA KILA ZITAKAPO TOKA.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button
Close

Adblock Detected

Please disable your adBlocker. we depend on Ads to fund this website. Please support us by whitelisting us. We promise CLEAN ADS ONLY