Get our affordable and Powerfull cloud Hosting Offers. made out of simplicity, security,affordable and speed. Visit Now

Get Offer
Tanzania TechTech GuidesTech trends

Jinsi ya Kuanzisha Darasa la Mtandaoni Bure Kabisa #Maujanja 52

Table of Contents

Njia hii inaweza kutumiwa na walimu wa shule zote za msingi, sekondari, vyuoni na hata walimu wa kawaida wanaofundisha kitu chochote kile kupitia mtandaoni kifupi ni kwamba njia hii ni bora sana na inakupa platform yenye ubora wa hali ya juu kufanya kile unachotaka katika swala zima la kutoa elimu, kizuri zaidi ni bure kabisa! Asante kwa Google.
LINK MAALUM
1. Kujiunga na Google Classroom Hapa http://bit.ly/2ql1szj
2. Kujifunza zaidi kuhusu somo hili (MUHIMU) Bofya Hapa http://bit.ly/2prAR3I
3. Kudownload App ya Google Classroom Kwaajili ya (iOS) Bofya Hapa http://apple.co/2oXGuFw
4. Kudownload App ya Google Classroom kwaajili ya (Android) Bofya Hapa http://bit.ly/2pKNEkM
5. Kujiunga na Darasa la Mtandaoni la Tanzania Tech Bofya Hapa https://classroom.google.com/u/0/h kisha weka Code Hizi kwenye Join Class usiweke mabano ( dhwz7v )
KWA #MAUJANJA ZAIDI YA TEKONLOJIA LIKE NA SUBSCRIBE NA KUSOMA HABARI ZA TEKNOLOJIA KILA SIKU TEMBELEA TOVUTI YA TANZANIA TECH

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button
Close

Adblock Detected

Please disable your adBlocker. we depend on Ads to fund this website. Please support us by whitelisting us. We promise CLEAN ADS ONLY